Maelfu ya watu walijitokeza katika uwanja wa St. Peter's Square huko Vatican kumsikiliza Papa Francis katika misa yake ya pili ya Krismas kama kiongozi wa kanisa katoliki. Na kwingineko duniani watu walijitokeza katika ibada mbali mbali.
Christmas yasherehekewa kote duniani

1
Mtoto akiwa mabegani mwa mzazi wake akimsikiliza Papa Francis akitoa ujumbe wa "Urbi et Orbi" (kwa mji na kwa dunia) St. Peter's Square, Vatican, Dec. 25, 2014.

2
Pope Francis gives his traditional Christmas "Urbi et Orbi" blessing from the balcony of St. Peter's Basilica at the Vatican, Dec. 25, 2014.

3
People attend a mass on Christmas day at the Cathedral Church in Lahore, Pakistan, Dec. 25, 2014.

4
People enjoy a plate of a paella dish offered as a Christmas gift for poor people by a restaurant owner in Bordeaux, southwestern France, Dec. 25, 2014.