Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Mei 31, 2023 Local time: 19:34

Wakenya wawika katika Michezo ya Riadha Duniani Bejing

Wanariadha wa Kenya wanaendelea kuwika katika Michezo ya Riadha Duniani huko Bejing ambapo siku ya Jumatano Julius Yego alinyakua medali ya dhahabu katika kurusha mkuki alipourusha mkuki wake umbali wa mita 92.78. Na katika mbiyo za mita 3 000 kuruka viunzi wanawake, Mkenya Hyvin Kiyeng Jepkemoi alitumia muda wa dakika 9:19:11 na kuchukua dhahabu ya pili kwa Kenya katika siku ya tano ya mkicehzo hiyo.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG