Hapo April 14, 2014, wanamgambo wa Boko Haram waliwateka nyara wasichana 276 kutoka kijiji cha Chibok Nigeria na kusababisha hasira za kimataifa.Jumuia ya kimataifa imeungana chini ya ujumbe #BringBackOurGirls. Miaka miwili baadae kungali na wasichana 219 ambao hawajapatikana bado.
Miaka miwili tangu kutekwa wasichana wa Chibok
5
The White House posts a Twitter photo showing First Lady Michelle Obama holding a sign with hashtag #BringBackOurGirls, May 7, 2014.
6
Maandamano ya kuadhimisha miaka miwili tangu kutekwa kwa wasichana wa Chibok yaliyofanyika Abuja, Nigeria April 14, 2016.
7
Mwanamke aliyehudhudia maandamano yanayotowa wito kwa serikali kuomngeza juhudi za kuwatafuta wasichana walotoweka. Lagos Nigeria
8
Chibok girls 2nd year anniversary rally in Abuja, Nigeria April 14, 2016