Hapo April 14, 2014, wanamgambo wa Boko Haram waliwateka nyara wasichana 276 kutoka kijiji cha Chibok Nigeria na kusababisha hasira za kimataifa.Jumuia ya kimataifa imeungana chini ya ujumbe #BringBackOurGirls. Miaka miwili baadae kungali na wasichana 219 ambao hawajapatikana bado.
Miaka miwili tangu kutekwa wasichana wa Chibok
1
Maandamano ya kuadhimisha miaka mieili tangu kutekwa wasichana wa mjini Abuja, Nigeria April 14, 2016
2
Maandamano ya kutaka wasichana wa Chibok, kurudishwa yakifanyika mjini in Abuja, Nigeria.
3
Maandamano ya kuadhimisha miaka miwili tangu kutekwa kwa wasichana wa Chibok yaliyofanyika Abuja, Nigeria April 14, 2016.
4
Maandamano ya kuadhimisha miaka miwili tangu kutekwa kwa wasichana wa Chibok yaliyofanyika Abuja, Nigeria April 14, 2016.