Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 02, 2023 Local time: 00:27

CHADEMA yagoma kushiriki kongamano mpaka suala la katiba lipewe kipaumbele


CHADEMA yagoma kushiriki kongamano mpaka suala la katiba lipewe kipaumbele
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:29 0:00

Chama kikuu cha upinzani Tanzania, Chadema, chasema hakitashiriki mchakato wa maridhiano bila ya kuwepo mazungumzo kuhusu katiba mpya. Mkutano na kongamano hilo limeandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) wiki ijayo.

XS
SM
MD
LG