Polisi wa Burundi kwa mara nyingine tena Jumatatu May 4 walifyetua risasi na kuwauwa waandamanaji watatu wakati wa maandamano ya kumpinga Rais Pierre Nkurunziza kugombania kwa mhula wa tatu.
Polisi wa Burundi wawauwa waandamanaji watatu

5
Polisi wa kupambana na ghasia wakisonga mbele na kuingia mtaa wa Mutakara mjini Bujumbura, May 4, 2015.

6
Waandamanaji wanakamatwa na polisi wakati wa mapambano ya mtaa wa Musaga mjini Bujumbura, May 4, 2015.

7
Polisi wa kupambana na ghasia wanamkimbiza muandamanaji mjini Bujumbura, May 4, 2015.

8
Waandamanaji wakiimba "wacha tupite" wakijaribu kuvuka kizuizi kilichowekwa katika mtaa wa Musaga mjini Bujumbura, May 4, 2015.