Polisi wa Burundi kwa mara nyingine tena Jumatatu May 4 walifyetua risasi na kuwauwa waandamanaji watatu wakati wa maandamano ya kumpinga Rais Pierre Nkurunziza kugombania kwa mhula wa tatu.
Polisi wa Burundi wawauwa waandamanaji watatu

1
Muandamanaji aliyejeruhiwa akizubiri kutibiwa katika zahanati ndogo kata ya Musaga mjini Bujumbura, May 4, 2015.

2
Mwanajeshi asimama kati ya waandamanaji wanaotia moto uchafu barabarani na polisi wa kupambana na ghasia huko kata ya Musaga mjini Bujumbura, May 4, 2015.

3
Mwanamke akitizama kutoka nyumbani kwake wakati polisi wanapoita katika mtaa wa Nakabiga, Bujumbura, May 4, 2015.

4
Waandamanaji wakikabiliana na polisi wa kupambana na ghasia katika wilaya ya Musaga mjini Bujumbura, May 4, 2015.