Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 07:57

Bunge la Marekani laweka historia kwa kupendekeza Rais wa zamani Trump kufunguliwa mashtaka ya uhalifu


Bunge la Marekani laweka historia kwa kupendekeza Rais wa zamani Trump kufunguliwa mashtaka ya uhalifu
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Kwa mara ya kwanza katika historia ya Marekani Bunge la nchi hiyo limewasilisha mashtaka ya uhalifu kwenye Wizara ya Sheria na kuitaka kumfungulia mashtaka manne ya uhalifu Rais wa zamani Donald Trump.

- Rais wa Russia Vladimir Putin amesema Jumanne hali katika maeneo manne ya Ukraine ambayo alidai aliyakamata mapema mwaka 2023 ni ngumu sana. Akizungumza na maafisa wa idara ya usalama ya Russia, Putin aliangazia maeneo ya Donetsk na Luhansk mashariki mwa Ukraine pamoja na Kherson na Zaporizhzhia upande wa kusini.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG