- Rais wa Russia Vladimir Putin amesema Jumanne hali katika maeneo manne ya Ukraine ambayo alidai aliyakamata mapema mwaka 2023 ni ngumu sana. Akizungumza na maafisa wa idara ya usalama ya Russia, Putin aliangazia maeneo ya Donetsk na Luhansk mashariki mwa Ukraine pamoja na Kherson na Zaporizhzhia upande wa kusini.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari