Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Desemba 01, 2022 Local time: 03:24

Buhari akutana na wajumbe wa chama cha APC

Rais Buhari akutana na wajumbe wa chama chake cha APC kinachotawala nchini Nigeria katika ofisi za makao makuu yake Abuja Jumatatu.

Mkutano huu unafanyika wakati kulikuwa na uamuzi wa dakika ya mwisho juu ya kuchelewesha uchaguzi mkuu nchini Nigeria.

Uchaguzi huo hivi sasa umepangwa kufanyika Jumamosi, umesababisha shaka juu ya ahadi ya kuwepo uchaguzi huru na wa haki katika nchi yenye watu wengi zaidi Afrika.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG