Matukio wakati wa Kombe la Dunia Brazil 2014, June 16

1
Shabiki wa Argentina akishangilia nje ya uwanja wa mpira wa Maracana kabla ya mchuano wa kundi F la Kombe la Dunia kati ya Argentina na Bosnia, mjini Rio de Janeiro, Brazil, June 15, 2014.

2
Rais wa Brazil Dilma Rousseff (kulia) akimkaribisha Kansela wa Ujerumani Angela Merkel aliyekwenza Brazil kuhudhuria michuano ya timu ya nchi yake katika Kombe la Dunia mjini Brasilia, June 15, 2014.

3
Watali wakiwa wamejipaka rangi za taifa za Brazil mjini, São Paulo, June 13, 2014. (Gesell Tobias/VOA)

4
A street vendor sells everything from Brazilian flags to green and yellow cowboy hats, in São Paulo, June 13, 2014. (Gesell Tobias/VOA)