Upatikanaji viungo

Rais Dilma Rousseff ashinda duru ya pili ya uchaguzi wa rais Jumapili

Rais Dilma Rousseff wa chama cha Workers' Party amemshinda mpinzani wake mkuu Aecio Neves wa chama cha Brazilian Social Democratic Party (PSDB) katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais ulokuwa na ushindani mkali.
Onyesha zaidi

Mgombea kiti wa chama cha  Workers' Party (PT)  cha Brazil, Dilma Rousseff akionesha cheti chake cha kura katika kituo cha Porto Alegre, Oct. 26, 2014.
1

Mgombea kiti wa upinzani  Aecio Neves wa chama cha  Brazilian Social Democratic Party (PSDB) akisalimiana na wafuasi wake mjini Sao Joao del Rei, Oct. 25, 2014.
2

Maboxi yenye vyeti vya kupiga kura vinawasilishwa kwa basi katika kituo cha kupiga kura kabla ya vituo kufunguliwa kwa duru ya pili ya uchaguziwa rais nchini Brazili huko Belo Horizonte, Oct. 26, 2014
3

A soldier stands guard where people wait in line to vote in general elections outside a school at the Mare Complex slum in Rio de Janeiro, Brazil, Oct. 26, 2014.
4

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG