Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 08, 2023 Local time: 15:50

Bomu laua watu 6 mpaka wa Kenya na Somalia


Bomu laua watu 6 mpaka wa Kenya na Somalia
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:49 0:00

Polisi wa Kenya wamesema leo Jumatatu watu sita wameuawa wakati basi dogo la abiria lilipoharibiwa na bomu la kutegwa ardhini huko kaskazini mashariki mwa nchi wakati wa shambulio la kuvizia lililofanywa na watu wenye silaha karibu na mpaka wa Somalia.

XS
SM
MD
LG