Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 08:32
VOA Direct Packages

Biden aliomba Bunge kupitisha msaada wa bilioni 33 kuisaidia Ukraine


Biden aliomba Bunge kupitisha msaada wa bilioni 33 kuisaidia Ukraine
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:19 0:00

Rais wa Marekani Joe Biden ameliomba bunge kuidhinisha idadi nyingine kubwa ya msaada kwa ajili ya Ukraine ili iweze kukabiliana na uvamizi wa Russia.

Biden aliomba Bunge hilo kupitisha sheria mpya zitakazowapa nafasi maafisa usalama kuzuia fedha na mali za matajiri wa Russia ili kuweza kuchangia kulipa gharama za vita hiyo.

Makundi

XS
SM
MD
LG