Seneta Bernie Sanders hatimae amuunga mkono Hillary Clinton, katika juhudi za kugombania kiti cha rais baada ya mapambano makali katika kampeni za kugombania uteuzi wa chama cha Democratic
Sanders amuunga mkono Clinton

1
Sanders atangaza kupatana na Clinton wakai wa mkutano huko Portsmouth, Julai 12 2016.

2
Sanders akubali kwamba Clinton ni mshindi wa chama cha Democratic ili kugombania kiti cha rais

3
Wafuasi wa Hillary Clinton na Bernie Sanders waimba wimbo wa taifa wakati wa mkutano huko Portsmouth, Julai 12, 2016,

4
Wanaharakati wa chama cha Demokratic wakati wa mkutano wa Portsmouth, Julai 12, 2016.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Makala Maalum
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- UNGA
- AFCON 2017