Hali ya wasiwasi bado imekumba mji wa Bamako, Mali baada ya watu wenye bunduki kuvamia hoteli moja maarufu mjini humo.
Shambulizi la kigaidi Bamako, Mali
Wavamizi wenye silaha waliingia katika hoteli ya Raddison mjini Bamako, Mali na kuchukua mateka.

1
Watu wanakimbia kuepuka mashambulizi mjini Bamako, Mali

2
Watu wamekusanyika wakiangali kinachotokea katika hoteli ya Radisson Blu baada ya uvamizi Bamako, Mali, Ijumaa, Nov. 20, 2015.

3

4
Wanajeshi wa Mali wakiwa wanajipanga nje ya hoteli ya Radisson Blu hotel.
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Makala Maalum
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- UNGA
- AFCON 2017