Uwamuzi wa saudi Arabia kumuwa imammashuhuri wa kishia Nimr al-Nimrni kwa tuhuma za kuchochea ghasia pamoja na washia wengine 46, umezusha hasira na lawama kutoka mataifa ya kislamu na na nchi mbali mbali za dunia
Saudi Arabia yazusha hasira miongoni mwa washia duniani

1
Akizungukwa na polisi, imam awahutubia waandamanaji kupinga mauwaji ya kiongozi wa kishia wa saudia Sheikh Nimr al-Nimr, anaeonekana kwenye bango nyuma ya imam mbele ya ubalozi wa Saudi mjini Tehran, Iran, Sunday, Jan. 3, 2016.

2
Waandamanaji wa Iran wakibeba picha ya imam wakishia Sheikh Nimr al-Nimr wakati wa maandamano kulaani mauwaji yake, yaliyofanuywa na Saudi Arabia kwenye uwanja wa Imam Hussein, mjini Tehran, Jan. 4, 2016.

3
Waandamanaji wakiimba dhidi ya kuuliwa kwa imam wakishia Sheikh Nimr al-Nimr na Saudi Arabia walipokusanyika kwenye uwanja wa Imam Hussein, mjini Tehran, Jan. 4, 2016.

4
Wafuasi wa Imam wa kishia wa Iraq Moqtada al-Sadr wakilalamika dhidi ya mauwaji ya Shiekh Nimr al-Nimr huko Saudi Arabia, wakati wa mkutano wa hadhara mjini Baghdad, Iraq, Jan. 4, 2016.