Muhammadu Buhari aapishwa kama rais wa Nigeria
Kuapishwa kwa Buhari kama rais wa Nigeria, May 29, 2015
Nigeria imepata kiongozi mpya baada ya Muhammadu Buhari kuapishwa May 29, 2015 kuchukua nafasi ya Rais Goodluck Jonathan aliyemshinda katika uchaguzi wa March

9
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani, John Kerry, na Rais mpya wa Nigeria Muhammadu Buhari.

10
Baadhi ya wageni waliohudhuria sherehe hizo.

11
Moja ya mabango ya Rais Muhammadu Buhari yaliyojaa mjini Abuja.

12
Jeshi katika gwaride la sherehe za kuapishwa kwa Rais Muhammad Buhari