Muhammadu Buhari aapishwa kama rais wa Nigeria
Kuapishwa kwa Buhari kama rais wa Nigeria, May 29, 2015
Nigeria imepata kiongozi mpya baada ya Muhammadu Buhari kuapishwa May 29, 2015 kuchukua nafasi ya Rais Goodluck Jonathan aliyemshinda katika uchaguzi wa March

1
Goodluck Jonathan na Muhammadu Buhari mjini Abuja, May 29, 2015.

2
Rais mpya wa Nigeria, Muhammadu Buhari, akila kiapo kuchukua uongozi.

3
Muhammadu Buhari akiwasili katika uwanja Abuja kwa ajili ya sherehe za kuapishwa kwake.

4
Kuapishwa kwa Muhammadu Buhari, May 29, 2015.