Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Novemba 29, 2022 Local time: 16:44

Ajali ya moto Nairobi yateketeza biashara, makazi ya watu

Baadhi ya juhudi za kuzuia moto kuenea katika eneo la Gikomba Nairobi, Kenya.

Moto huo ulitokea katika eneo linalohifadhi mbao, mratibu wa mji wa Nairobi Kangethe Thuku, ambaye ni afisa wa ngazi ya juu amesema. Watu 15 wamepoteza maisha na wengine 70 kujeruhiwa wakati moto ulipotokea na kuteketeza soko na eneo la makazi katikati ya mji wa Nairobi, saa nane usiku.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG