Viongozi kadhaa wa Afrika walikutana katika mkutano wa Baraza la Usalama na Amani kuhusu Ugaidi mjini Nairobi Septemba 2, 2014. Mkutano huo ulijadili uratibu baina ya nchi hizo katika kupambana na ugaidi.
Mkutano wa Baraza la Usalama na Amani la Umoja wa Afrika kuhusu Ugaidi, Nairobi, Kenya Sept 2, 2014
5
Rais wa Nigeria, Dr. Goodluck Ebele Jonathan, kushoto, akiwa na Balozi Smail Chergui, Kamishna wa Tume ya Amani na Usalama ya AU.
6
Rais wa Chad, Idriss Deby, kushoto, akiwa na Balozi Smail Chergui katika mkutano huo.
7
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, kushoto, akipeana mkono na Rais wa Chad, Idriss Deby, wakati8 wa mkutano wa AU Summit, Sept. 2, 2014, mjini Nairobi, Kenya.
8
Rais wa Nigeria, Dr. Goodluck Ebele Jonathan, kushoto, anakutana na Rais wa Chad, Idriss Deby, wakiati wa mkutano wa AU, Sept. 2, 2014, mjini Nairobi, Kenya.