Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Juni 25, 2024 Local time: 21:10

Sri Lanka yateketeza pembe za ndovu kutoka Tanzania na Msumbiji.

Pembe za ndovu zilizokamatwa miaka mitatu iliyopita zimeonyeshwa kabla ya kuharibiwa katika mji wa Colombo, Sri lanka.

Pembe za ndovu zimepatikana kaskazini mwa msumbiji na Tanzania na tathmini yake imetolewa na mamlaka ya Forodha ya Sri lanka kuwa zina thamani ya dola ya zaidi ya milioni 2.5. zikiwa na kilogramu 1,529. Pembe hivi ziliharibiwa na mashine na kukatwa vipande vidogovidogo na baada vitachomwa hadi kuwa majivu.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG