Wapiga kura wa Afghanistan walijitokeza kwa wingi Jumamosi kuwahi kutokea wakikaidi vitisho vya Taleban na kushiriki katika kumchagua rais mpya atakae chukua nafasi ya Hamid Karzai.
Wafghanistan wapiga kura kumchagua kiongozi mpya

1
Rais Hamid Karzai wa Afghanistan akionesha cheti cha kura kabla ya kuitia ndani ya sanduku ya kura katika shule ya sekondari ya, karibu na Ikuklu, Kabul, April 5, 2014.

2
Wapigakura wanaume wa Afghanistan wasimama kwa mstari kupiga kura katika kituo cha Herat.

3
Wanawake wa Afghanistan wasimama kwa mlolongo wakisubiri kupiga kura katika kituo cha kura cha Kabul.

4
Polisi akisimama nje ya kituo cha kupiga kura mjini Kabul wakati wafghanistan wasimama kwa mstari kushiriki katika uchaguzi wa rais.