Breaking News
Ijumaa, Novemba 13, 2026 Local time: 11:36

Rais Zelenskyy asema ajiandaa kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia tena na Syria


Rais Zelenskyy asema ajiandaa kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia tena na Syria

No media source currently available

Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy amesema anajiandaa kuanzisha uhusiano tena wa kidiplomasia na Syria.

FBI imesema maafisa wa usalama wanatumia vibali vya msako huko New Orleans na maeneo nje ya jimbo la kusini la Marekani Louisiana katika uchunguzi wa shambulizi la vifo wakati wa mwaka mpya.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

​
XS
SM
MD
LG