Kura za hesabiwa Madagascar kufuatia uchaguzi wa rais ulosusiwa na upinzani
Kura zinahesabiwa nchini Madagascar baada ya kufanyika kwa uchaguzi wa rais ulosusiwa na idadi kubwa ya wapinzani. Uchaguzi umefanyika baada ya wiki kadhaa za ghasia na maandamano, na katika mji mkuu wa Antananarivo wafuatiliaji wanasema uchaguzi umefanyika kwa amani.
5
Kituo cha kupiga kura katika wilaya ya Ankadivato, mjini Antananarivo, kikiwa kitupu kutokana na upinzani kususia duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais hapo Novemba 16 2023.
6
Wafanyakazi wa uchaguzi wakiwa katika zoezi la upigaji kura mjini Antananarivo.
7
Mpiga kura atumbukiza kura yake ndani ya sanduku la kura akishiriki kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi wa rais Madagascar.
Forum