Mapigano ya Gaza yaendelea kwa wiki ya nne mfululizo
Mapigano yameongezeka huko Gaza, huku maandamano yakifanyika katika pembe zote za dunia kuunga mkono Palestina na kutaka kuachiliwa kwa mateka.
9
Wafuasi wa chama cha kidini cha Jamiat Ulema-e-Islam-f, cha Pakistan wakishiriki kwenye mkutano wa kuiunga mkono Palestina.
10
Watu wakibeba mabango yenye majina ya watu walotekwa na kundi la Hamas nje ya ubalozi wa Qatar mjini London.
11
Wapalestina wakagua uharibifu ulofanywa kwenye nyumba yao mjini Khan Younis na jeshi la Israel.