Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Septemba 11, 2024 Local time: 06:26

Umoja wa Jumuiya ya ECOWAS wajipata katika mtihani mgumu


Umoja wa Jumuiya ya ECOWAS wajipata katika mtihani mgumu
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Msururu wa mapinduzi katika ukanda wa Afrika Magharibi unaweka umoja na uwezo wa jumuiya ya kikanda ya ECOWAS, katika mtihani, huku ikijaribu kurejesha utawala wa kiraia katika nchi kama vile Burkina Faso, Guinea, Mali na Niger.

XS
SM
MD
LG