Breaking News
Jumamosi, Novemba 14, 2026 Local time: 15:17

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alaani mapigano yanayoendelea Sudan


Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alaani mapigano yanayoendelea Sudan

No media source currently available

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amelaani mapigano yanayoendelea nchin Sudan na mashambulizi kwa wanadiplomasia.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan amesema nchi za G7 zimekubaliana kupinga vita vya Russia vya ukandamizi nchini Ukraine.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

​
XS
SM
MD
LG