Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Oktoba 03, 2023 Local time: 20:29

Rais Biden ahutubia bunge la Ireland


Rais Biden ahutubia bunge la Ireland
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Rais Wa Marekani Joe Biden ambaye yuko ziarani nchini Ireland, Alhamisi alilihutubia bunge la nchi hiyo, siku moja baada ya kufanya ziara ya kihistoria katika jimbo la Ireland Kaskazini.

XS
SM
MD
LG