Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 03:19

Putin kupeleka silaha maalum Belarus, adai bila ya kukiuka majukumu ya silaha za nyuklia


Putin kupeleka silaha maalum Belarus, adai bila ya kukiuka majukumu ya silaha za nyuklia
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:34 0:00

Wanajeshi wa Ukraine wakiwa kwenye mpaka na Belarus wametumia ndege zisizo kuwa na rubani ili kufuatilia aina yoyote ya uchokozi unaofanywa dhidi yake na Russia.

Kuna habari zinazoeleza Rais wa Russia Vladimir Putin anapanga kupeleka silaha huko Belarus bila ya kukiuka majumu yake ya kimataifa ya kutosambaza silaha za nyuklia. Ungana na mwandishi wetu akikueleza hatua ambayo Russia inachukua ya kupeleka silaha kali na kutoa mafunzo ya kuzitumia huko Belarus. Endelea kusikiliza...

XS
SM
MD
LG