Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Machi 28, 2023 Local time: 12:27

Yellen asifu ushirikiano wa biashara kati ya Afrika Kusini na Marekani


Yellen asifu ushirikiano wa biashara kati ya Afrika Kusini na Marekani
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:53 0:00

Waziri wa fedha wa Marekani Janet Yellen amekamilisha ziara muhimu yenye lengo la kuimarisha ushirikiano wa biashara kati ya Marekani na nchi za Afrika. Ziara yake imefanyika wakati mkuu wa IMF alikua pia anatembelea nchi za Afrika kuzungumzia suala la madeni ya nchi hizo.

XS
SM
MD
LG