Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 17:52

Katibu Mkuu wa EAC Peter Mathuki aeleza changamoto za bara la Afrika kibiashara


Katibu Mkuu wa EAC Peter Mathuki aeleza changamoto za bara la Afrika kibiashara
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:01 0:00

Nchi za Afrika zimetakiwa kuwekeza katika sekta mbalimbali ili kusaidia kukuza uchumi wa bara hilo, ili kupunguza kupanda kwa gharama za chakula na mfumuko wa bei.

Je, unajua kiwango cha biashara inayofanywa barani Afrika?Ungana na mwandishi wetu akukuletea maelezo ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki akilinganisha biashara inayofanywa na bara la Afrika na mabara mengine duniani. Endelea kusikiliza...

XS
SM
MD
LG