Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Julai 15, 2024 Local time: 07:55

Mkutano wa ucumi duniani (WEF) wamalizika Davos huku Afrika ikiwa na matumaini ya kufaidika nao


Mkutano wa ucumi duniani (WEF) wamalizika Davos huku Afrika ikiwa na matumaini ya kufaidika nao
please wait

No media source currently available

0:00 0:59:59 0:00

Voongozi wa nchi, serikali na makampuni mbalimbali kutoka barani Afrika, wiki hii wameungana na wenzao kutoka kwingineko ilimwenguni kwa kongamano la kila mwaka mjini Davis, Uswuzi, la kutathmini njia za kuboresha hali ta maisha katika nyanja mbalimbali. Matarajio ya Afrika ni yapi?

XS
SM
MD
LG