Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
Viongozi wa Afrika na Marekani wanakutana Washington
Rais wa Marekani Joe Biden atakuwa mwenyeji wa viongozi kutoka nchi za Afrika kuanzia kesho Jumanne hapa Washington DC, wakati White House ikiweka mikakati ya kupunguza pengo la ukosefu wa uaminifu kati ya Marekani na Afrika, jambo ambalo limekuwa liokiongezeka kwa muda wa miaka kadhaa.
Matukio
-
Machi 20, 2026Duniani Leo
-
Machi 19, 2026Duniani Leo
-
Machi 18, 2026Duniani Leo
-
Machi 17, 2026Duniani Leo
-
Machi 16, 2026Duniani Leo
-
Machi 13, 2026Duniani Leo