Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 00:32

Timu ya ngazi ya juu ya Ethiopia imeelekea mekele kwa mazungumzo na waasi ya utekelezaji wa makubaliano ya amani

Timu ya ngazi ya juu ya Ethiopia imeelekea mekele kwa mazungumzo na waasi ya utekelezaji wa makubaliano ya amani
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Miongoni mwa vipengele vya makubaliano hayo ni kuweka utaratibu wa ufuatiliaji na utekelezaji ili pande zote mbili ziweze kuwa na imani kuwa sitisho la mapigano linaheshimiwa na ukiukwaji wowote utashughulikiwa. Maelfu ya watu wamekufa katika miaka miwili ya umwagaji damu kwenye jimbo la Tigray

XS
SM
MD
LG