Kura zinaendelea kuhisabiwa hapa Marekani katika uchaguzi wa katikati ya muhula wenye ushindani mkali ambapo hakuna chama kina uhakika wa kudhibiti bunge.
Wanajeshi wa Russia wameondoka Kherson katika hatua ambayo Ukraine inaona kama ya kimkakati.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari