Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Aprili 19, 2024 Local time: 17:36

Waislamu milioni 21 wa madhehebu ya Shia waadhimisha siku ya Arbaini mjini Karbala, Iraq

Mahujaji milioni 21, waislamu wa madhahebu ya kishia, wakiwa wamevaa nguo nyeusi wamekusanyika katika mji wa Karbala nchini Iraq kuadhimisha siku ya Arbaini, wakati nchi hiyo ikikabiliwa na misukosuko ya kisiasa.

Sherehe za Arbaini ni kuadhimisha mwisho wa siku 40 ya kuomboleza mauaji ya Imam Hussein, mjukuu wa Mtume Mohamed SAW, katika karne ya saba, aliyeuliwa na wapiganaji wa Khalifa Yazid. Hilo ndilo tukio muhimu linalosemekana lilianzisha madhahemu ya kishia katika uislamu.


Makundi

XS
SM
MD
LG