Uchaguzi Mkuu Angola August 24 2022: Vuguvugu la uchaguzi linaendelea
Uchaguzi Mkuu umepangwa kufanyika Angola August 24, 2022 kumchagua Rais na Wabunge President. Vuguvugu la uchaguzi linaendelea nchini humo huku kampeni zikifikia ukingoni. Rais aliyeko madarakani João Lourenço anagombea awamu yake ya pili.
5
Kituo cha kupiga kura katika Jumuiya ya Amangola, Luanda. Picha ya August 19.
6
Bendera ya vyama vya UNITA na FNLA zikipepea na mabango ya kiongozi wa MPLA João Lourenço, yakiwa katika barabara za Luanda. Angola, August 19, 2022.
7
Daraja la juu likipeperusha maandishi ya kampeni ya UNITA ikiwa na jina la rais wake Adalberto Costa Júnior. Luanda, Angola, August 16, 2022.
Daraja la juu likipeperusha maandishi ya kampeni ya UNITA ikiwa na jina la rais wake Adalberto Costa Júnior. Luanda, Angola, August 16, 2022.
8
Daladala likiwa na picha za viongozi watatu wa vyama vikuu nchini Angola na kauli mbiu "Watu wamoja, Taifa moja." Luanda, Angola, August 19, 2022
Makundi
- Afrika
- Marekani
- Afya
- Hali ya HIV/Ukimwi Afrika
- Uchaguzi Kenya 2013
- Kesi za Wakenya Mbele ya ICC
- Fainali za Kombe la Afrika 2015
- Ziara ya Rais Obama Kenya, Julai 23-26
- Tanzania Yaamua 2015
- Uchaguzi Marekani 2016
- Ziara ya Papa barani Afrika
- Uchaguzi Uganda 2016
- Mauaji Orlando
- YALI 2016
- Rio 2016
- AFCON 2017