Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari
UN yasema haina ushahidi kuwa walinda amani walifyatua risasi kwa raia
Umoja wa Mataifa umesema hauna ushahidi hadi sasa kwamba walinda amani wake walifyatua risasi kwa raia katika siku tatu za maandamano ya kupinga vikosi vyake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Matukio
-
Machi 31, 2025Duniani Leo
-
Machi 28, 2025Duniani Leo
-
Machi 27, 2025Duniani Leo
-
Machi 26, 2025Duniani Leo
-
Machi 25, 2025Duniani Leo
-
Machi 24, 2025Duniani Leo