Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Julai 07, 2022 Local time: 10:51

EAC yajadili mkakati wa kupeleka jeshi la pamoja kupambana na M23 DRC


EAC yajadili mkakati wa kupeleka jeshi la pamoja kupambana na M23 DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wamekutana Jumatatu kujadili mkakati wa kupeleka jeshi la pamoja kupambana na kundi la waasi wa M23 miongoni mwa mengine DRC.

Wajumbe wanahudhuria mkutano wa Jumuiya ya Madola ulioandaliwa na Rwanda mwaka 2022 na wanaanza kazi Jumatatu katika vikao mbalimbali vya ufunguzi.

Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

XS
SM
MD
LG