Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Agosti 08, 2022 Local time: 19:46

Wanawake wanaogombea nafasi katika uchaguzi Kenya wataka kupewa usalama


Wanawake wanaogombea nafasi katika uchaguzi Kenya wataka kupewa usalama
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:59 0:00

Wanawake wanaogombea katika nafasi za uongozi nchini Kenya wametaka tume ya uchaguzi kuhakikisha usalama wao na ikiwezekana kuwapa ulinzi kutokana na kwamba wako hatarini.

XS
SM
MD
LG