Wanafunzi kutoka nchi za Afrika waliokuwa Ukraine wamepokelewa na mwanaharakati wa haki za Binaadamu raia wa Poland mwenye asili ya Nigeria, Dr.Magreth Ohia Novak ili kuwasaidia kuanza maisha mapya pamoja