Mafuriko makubwa yatokea Muscut, Oman na kusababisha vifo vya watu watatu. Wabrazil wamtaka Rais Jair Bolsonaro kuondolewa madarakani na Watunisia waandamana kumunga mkono rais Kais saied.
Matukio ya dunia katika picha Oktoba 3, 2021
Mafuriko makubwa yatokea Muscut, Oman na kusababisha vifo vya watu watatu.
9
Mafuriko makubwa yatokea Muscat, Oman kufuatia kimbunga Shaheen.
10
Maandamano kumunga mkono rais wa Tunisia Kais Saied
11
Sisay Lemma wa Ethiopia asherehekea ushindi wake kwenye Marathon za London 2021.
12
Mwanamke aliyejifunika na bendera ya Brazilian anaimba wakati wa maandamano kumpinga rais Jair Bolsonaro mjini Rio de Janeiro, Brazil, Oct. 2, 2021.