Mafuriko makubwa yatokea Muscut, Oman na kusababisha vifo vya watu watatu. Wabrazil wamtaka Rais Jair Bolsonaro kuondolewa madarakani na Watunisia waandamana kumunga mkono rais Kais saied.
Matukio ya dunia katika picha Oktoba 3, 2021
Mafuriko makubwa yatokea Muscut, Oman na kusababisha vifo vya watu watatu.
1
Joyciline Jepkosgei wa Kenya kwenye jukwa na wenzake wa Ethiopia katika mbiyo za Marathon za London
2
Joyciline Jepkosgei wa Kenya ashinda mbiyo za wanawake za Marathon za London 2021
3
Moto na moshi ukitanda angani katika makazi kwenye kisiwa cha Guanja, Hondurus.
4
Wanajeshi wa Yemen watiifu na Baraza la Mpito la Kusini STC wapiga doria mjini Aden