Video hii inaanza na kipindi cha kuporomoka shughuli za uchumi, na jinsi athari zake zinavyoenea katika uchumi wote. Pia muda wa kudumu athari hizo kwa miezi kadhaa
Pia vipi kushuka kwa viashiria hivi muhimu vya uchumi kunaweza kutoa dalili za uchumi kudorora...