Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Machi 29, 2024 Local time: 16:44

Shambulizi la Sri Lanka : Athari zake kwa raia na mali za nchi hiyo

Taarifa zinaeleza maeneo yaliyoshambuliwa mjini Colombo ni makanisa matatu na hoteli ikiwemo Shangri-La, Kingsbury, Cinnamon Grand na Tropical Inn karibu na makazi ya wanyama pori. Waziri Mkuu Ranil Wickremesinghe ameitisha mkutano wa baraza la usalama Jumapili.

"kwa jumla, tuna habari za vifo vya watu 207 kutoka hospitali zote. Kwa mujibu wa habari hiyo mpaka sasa tuna watu 450 waliojeruhiwa na wamelazwa hospitali,” alisema msemaji wa polisi Ruwan Gunasekera.

16x9 Image

Jaffar Mjasiri

Ni Mwandishi na Msimamizi wa Mitandao ya Kijamii, VOASwahili

 

Makundi

XS
SM
MD
LG