Wagombea 12 wa kiti cha rais visiwani Comoros wanapinga njama za utawala wa Rais Azali Assoumaniza kuiba kura na kujitangaza mshindi. Wansema sanduku za kupiga kura zilifika katika ngome za upinzani zikiwa tayari zimejazwa vyeti vya kura vilivyomchagua Azali.
Matukio
-
Januari 25, 2021
UN yahimiza msaada wa dharura ukanda wa Sahel
-
Januari 25, 2021
Mashtaka dhidi ya Trump kuwasilishwa Baraza la Seneti
-
Januari 25, 2021
Chama tawala Burundi chapata Katibu Mkuu mpya
-
Januari 25, 2021
Wajumbe wa Mazungumzo ya Libya watangaza nafasi za kazi
-
Januari 22, 2021
Ukanda wa Sahel wavamiwa na wanamgambo wa Kiislam
-
Januari 22, 2021
Utalii washika kasi Dubai, watalii waanza kuwasili
Facebook Forum