Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 09, 2023 Local time: 16:19

Siasa ya mchafuko yaendelea nchini Venezuela


Siasa ya mchafuko yaendelea nchini Venezuela
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:50 0:00

Hali ya siasa haiko shwari nchini Venezuela , baada ya kiongozi wa upinzani Juan Guaido kujitangaza kuwa rais mteule wa nchi hiyo, hata hivyo tamko hilo lilipingwa na rais aliyekuwa madarakani Nicolas Maduro.

XS
SM
MD
LG