Watu kadhaa wangali wamekwama ndani ya majengo yaliyoshambuliwa Jumanne mchana katika mtaa wa Riverside Drive Nairobi. Maafisa wa usalama wamewasaidia wakazi kukimbia wakati wa mashambulizi ya bunduki
Watu15 wauwa katika shambulio la Riverside Nairobi

1
Maafisa wa usalama wa Kenya wakiwasaidia watu kukimbia baada ya mlipuko wa bomu ndani ya hoteli ya DusitD2 mjini Nairobi, Kenya, hapo January 15, 2019.

2
Moto ulowaka baada ya bomu kulipuka kwenye mlango mkuu wa kuingia katika majengo yaliyoshambuliwa Riverside Drive Nairobi.

3
Ramani ya mahala hoteli ya Dusit, D2 inapatikana jijin Nairobi Kenya

4
Watu wakisaidia na maafisa wa usalama wa Kenya kukimbia majengo yaliyoshambuliwa na magaidi Nairobi Jumanne Januari 15, 2019.