Upigaji kura katika mji mkuu wa Kinshasa umecheleweshwa kutokana na mvua kubwa huku maeneo mengine ya nchi yakikabiliwa na matatizo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kutokuwepo na daftari ya wapiga kura katika baadhi ya vituo
Wacongo wapiga kura katika uchaguzi mkuu wa kihistoria
1
Emmanuel Ramazani Shadary, mgombea kiti cha rais kwa niuaba ya muungano unaotawala akipiga kura yake mjini Kinshasa. Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Dec. 30, 2018.
2
Wapiga kura na mashahidi wakizubiri kufunguliwa kwa kituo cha kupiga kura cha Katendere, mjini Goma, Dec. 30, 2018.
3
Rais Joseph Kabila awasili katika kituo cha kupiga kura kupiga kura yake
This image contains sensitive content which some people may find offensive or disturbing - Click to reveal
Rais Joseph Kabila awasili katika kituo cha kupiga kura kupiga kura yake
Rais Joseph Kabila awasili katika kituo cha kupiga kura kupiga kura yake
4
Martin Fayulu, mgombea mmoja wa upinzani wa kiti cha rais wa mungano wa Lamuka akipiga kura yake mjini Kinshasa, DRC, Dec. 30, 2018.